RAIS SAMIA ARIDHIA AGOSTI 23, 2022 SIKU YA SENSA NI MAPUMZIKO-WAZIRI MKUU ATHIBITISHA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Thursday, 18 August 2022

RAIS SAMIA ARIDHIA AGOSTI 23, 2022 SIKU YA SENSA NI MAPUMZIKO-WAZIRI MKUU ATHIBITISHA


 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameridhia tarehe 23 Agosti 2022 iwe siku ya mapumziko ili Watanzania wawepo majumbani na waweze kuwapokea makarani wa sensa na kutoa maelezo sahihi.



CHANZO:MILLARD AYO

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso