UGONJWA USIOJULIKANA WAUA WATOTO WATANO-ARUSHA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday, 20 July 2022

UGONJWA USIOJULIKANA WAUA WATOTO WATANO-ARUSHA


Watoto watano wa familia moja wakazi wa kijiji cha Mswakini wilayani Monduli, Mkoa Arusha nchini Tanzania wamefariki dunia kwa ugonjwa ambao bado haujatambulika baada ya kusumbuliwa na maumivu ya tumbo na matumbo kujaa.


Akizungumza Jana Jumanne Julai 19,2022, Dwani wa Mswakini (CCM), Nanga Lenasira Mollel amesema vifo vya watoto vimetokea kwa nyakati kuanzia Julai 5 hadi leo ambapo amefariki mtoto mwingine aliyekuwa mgonjwa baada ya kubaki pekee Hospitali ya Mkoa Arusha ya Mount Meru Arusha.


Amesema mtoto wa kwanza Bosi Nyangusi alifariki Julai5, 2022 kutokana na kusumbuliwa na tumbo.


Mollel amesema baada wanzake wanne walipelekwa hospitali ya TMA Monduli na wakapata matibabu na kuruhusiwa ila wakiwa njiani walizidiwa na kupelekwa Mout Meru, ambapo Julai 16 alifariki Saimalie.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso