SERIKALI USO KWA USO NA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI (TUCTA) KUHUSU NYONGEZA YA MSHAHARA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Sunday 24 July 2022

SERIKALI USO KWA USO NA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI (TUCTA) KUHUSU NYONGEZA YA MSHAHARA





Serikali ya Tanzania Jumatatu Julai 26, 2022 itakutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) ili kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara Julai mwaka huu.


Taarifa hiyo imetolewa leo Jumapili, Julai 24, 2022 na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa katika ukarasa wake wa mtandao wa Twitter.


“Ndugu wafanyakazi, Jummane tarehe 26 Julai 2022 Serikali itakutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) ili kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara katika mishahara ya Julai 2022,”amesema.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso