PACHA WA REHEMA AFARIKI HOSPITALI YA MUHIMBILI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday, 12 July 2022

PACHA WA REHEMA AFARIKI HOSPITALI YA MUHIMBILI


Mmoja kati ya watoto pacha waliotenganishwa Julai Mosi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Neema amefariki dunia wakati akiendelea na matibabu Jumapili Julai 10, 2022.


Taarifa iliyotolewa na Hospitali hiyo leo Julai 12, 2022 na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma, Aminiel Aligaesha imeeleza kuwa hali ya Neema ilibadilika ghafla akiwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU).


Muhimbili ilifanikisha upasuaji wa kuwatenganisha watoto hao walioungana kifuani Rehema na Neema Julai 1 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso