TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Elimu Sayansi na Technolojia anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi arobaini na mbili (42) kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.
BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeundwa kwa mujibu wa Ibara ya 62(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977. Aidha, Ibara ya 88(1) ya Katiba inaunda Sekretarieti ya Bunge yenye jukumu la kuliwezesha Bunge kutekeleza majukumu yake.
FUNGUA TANGAZO LA KAZI HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment