WAZIRI BASHUNGWA AMSIMAMISHA KAZI ALIYEKUA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA TARIME - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Friday, 6 May 2022

WAZIRI BASHUNGWA AMSIMAMISHA KAZI ALIYEKUA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA TARIME

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Mkoani mara Bw. Apoo Castor Tindwa ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara kuanzia leo tarehe 06.05.2022 ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili.



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso