Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba pamoja na Viongozi wengine waandamizi wa chama hicho Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2022.
Profesa Lipunba akizungumza baada ya mazungumzo hayo alitoa kwa kifupi kile ambacho walijadili na Rais ikiwa na lengo la kuendeleza demokrasia nchini pia kumpongeza Rais kuongoza taifa letu, kusema majadiliano ni muhimu na kuweza kushindana na hoja na kufanya siasa za kistaharabu.
No comments:
Post a Comment