Halmashauri ya Wilaya ya Nzega inawatangazia ajira mpya kwa Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Nzega, kuomba nafasi za kazi kama ifuatavyo
1. Mtendaji wa Mtaa Daraja la III - Nafasi 13
2. Katibu Mahususi Daraja la III - Nafasi 2
Maombi yote yatumwe kupitia Posta kwa Anwani Ifuatayo
MKURUGENZI ,
HALMASHAURI YA MJI NZEGA,
BARABARA YA HALMASHAURI,
16 MTAA WA IPAZI,
S.L.P 256,
45482 NZEGA
No comments:
Post a Comment