KENYA WAWEKA MARUFUKU YA KUTOTOKA NJE - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday, 4 May 2022

KENYA WAWEKA MARUFUKU YA KUTOTOKA NJE


Serikali nchini Kenya imetangaz amri ya kutotoka ndani kuanzia saa 12:00 jioni hadi saa 12:00 asubuhi katika kaunti ya Marsabit, kufuatia visa vya ugaidi vilivyosababisha mauaji kwa wanakijiji katika kaunti hiyo.


Waziri wa Ulinzi wa Kenya Fred Mnatiang'i


Kwa wiki moja sasa mashambulizi kutoka kwa magaidi yameshuhudiwa katika eneo hilo, hali iliyopelekea Waziri wa Ulinzi wa Kenya Fred Mnatiang'i, kutangaza marufuku hiyo katika juhudu za kuhakikisha vyombo vya usalama vinapata nafasi ya kuendeleza oparesheni katika eneo hilo.


Oparesheni inayoendelea katika eneo hilo ni ya kuwanyang'anya silaha wamiliki wa silaha haramu, na kusisitiza kwamba magenge ya majambazi wanaoshambulia wanakijiji hutorokea eneo la Suoso. mpakani mwa Kenya na Ethopia.

CHANZO:EATV NEWS

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso