TANGAZO LA AJIRA 1650 WIZARA YA AFYA (PART 2) - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Saturday, 16 April 2022

TANGAZO LA AJIRA 1650 WIZARA YA AFYA (PART 2)

 MUHIMU: Na maelekezo ya jumla ya kutuma maombi yanapatikana kwenye post hii.

Muda wa kutuma maombi haya ni ndani ya wiki mbili tangu tarehe ya kutoka kwa Tangazo hili (kuanzia tarehe 16/04/2022 mpaka 29/04/2022). Maombi yote yawasilishwe kupitia
mfumo wa ajira wa Wizara ya Afya unaopatikana kupitia tovuti: ajira.moh.go.tz.

Muombaji atakayeomba kupitia ya Wizara ya Afya, ASIOMBE kwa nafasi hiyo hiyo kwa upande wa OR-TAMISEMI.






No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso