RAIS SAMIA ATEMBELEA SHIRIKA LA FEDHA DUNIANI (IMF) - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday, 25 April 2022

RAIS SAMIA ATEMBELEA SHIRIKA LA FEDHA DUNIANI (IMF)

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa na baadhi ya Viongozi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) pamoja na Ujumbe aliofuatana nao, kwenye picha ya pamoja Makao Makuu ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) Washington DC nchini Marekani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akipokea kitabu cha Taarifa ya miaka 20 ya Usimamizi wa Uchumi katika Afrika Mashariki, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF), Bibi Christalina Georgieva, Makao Makuu ya Shirika hilo Washington DC nchini Marekani.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Bibi Christalina Georgieva, alipowasili Makao Makuu ya Shirika hilo Washington DC nchini Marekani.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, na mwenyeji wake Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF), Bibi Christalina Georgieva, wakiwa kwenye picha ya pamoja Makao Makuu ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) Washington DC nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso