Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson amelazimika kuahirisha shughuli za bunge hadi Jumatano ya April 27 kutokana na kifo cha mbunge wa viti maalum Mkoa wa Rukwa (CCM) Irene Alex Ndyamkama, kilichotokea jana Aprili 24, 2022
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson.
Mbunge huyo wa Rukwa (CCM) Irene Alex Ndyamkama, alifariki dunia jana katika Hospitali ya Tumbi, Kibaha alipokuwa akipatiwa matibabu.
No comments:
Post a Comment