Uhuru ametangaza kuwa Kibaki amefariki usiku wa siku ya Alhamisi.
Uhuru anamuomboleza mtangulizi wake kama kiongozi ambaye alileta ukuaji wa kiuchumi , demokrasia na kuimarisha hali ya uchumi ya Wakenya.
Uhuru anamkumbuka kwa jukumu lake la kupatikana kwa katiba mpya ya mwaka 2010 na kuongoza uidhinishaji wake.
No comments:
Post a Comment