Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametangaza siku mbili za maombolezo kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Kenya Mwai Kibaki kilichotokea tarehe 21 April 2022 nchini Kenya.
Amesema maombolezo hayo yatakuwa ya siku mbili tarehe 29 na 30 April 2022 na bendera zitapepea nusu mlingoti.
No comments:
Post a Comment