Serikali imetangaza wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2022 huku ikisema imawapa kipaombele wanafunzi wa vijijini shule za kitaifa za bweni.
Akitangaza uchaguzi Jumatano Novemba 24, 2021, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi), Ummy Mwalimu amesema nafasi zinazokwenda kwa wanafunzi wa bweni ni za shule za kitaifa.
No comments:
Post a Comment