TETESI ZA USAJILI ULAYA OCTOBER 28 - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Friday, 29 October 2021

TETESI ZA USAJILI ULAYA OCTOBER 28






Chelsea na Newcastle United ni miomgoni mwa timu za Ligi kuu England zinazohusishwa na usajili wa mshambuliaji Eden Hazard, 30, kutoka Real Madrid mwezi Januari. (ESPN)




Wamiliki wapya wa Newcastle wananmendea winga wa Watford Ismaila Sarr, 23, mmoja wa wachezaji wa mwanzo kutaka kumsajili. (Mail)


Matumaini ya Newcastle ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Barcelona Ousmane Dembele, 24 yameongezeka baada ya klabu hiyo ya Laliga kutakiwa kumlipa kocha wake wa zamani Ronald Koeman kiasi cha £10m kama fidia. (Express)


Manchester United itapaswa kumlipa meneja wske Ole Gunnar Solskjaer £7.5m kama itaamua kumtimua Mnorway huyo. (Sun)


United huenda isimtumie meneja wq zamani wa Inter Milan Antonio Conte kama mbadala wa Solskjaer kwa sababu ya gharama kubwa za kumlipa muitalia huyo. (Star)


West Ham wako kwenye mazungumzo na bilionea wa Czech Daniel Kretinsky kuhusu uuzaji wa husa asilimia 27% za klabu hiyo. (Sky Sports)


Manchester City walijaribu kumsajili mshambuliaji wa Ubelgiji Romelu Lukaku kutoka Inter Milan mwaka jana kabla ya last year nyota huyo mwenye miaka 28-year-old's kujiunga na mahasimu wao Chelsea mwezi Agost, wakala wa mchezaji anasema. (Telegraph)


Arsenal huenda ikakabiliwa na ishindani kutoka Barcelona kwenye mbio za kumsajili mshambuliaji wa Manchester City na England Raheem Sterling. (Football.London)


Washika bunduki hao wanamfuatilia pia kiungo wa Borussia Monchengladbach Mswiss Denis Zakaria, 24, amnaye atakua mcnezaj8 huru mwakani. (Sun)


Meneja wa Chelsea Thomas Tuchel ameuomba uongozi wa juu wa timu hiyo kusajili mshambuliaji mwingine mwezi Januari kumpunguzia mzigo Lukaku. (Transfer Window Podcast via Express)


Kiungo wa Southampton na England James Ward-Prowse anawaniwa na Newcastle United katika uhamisho wa Januari, ingawa nyota huyo mwenye miaka 26 alisaini mkataba mpya na Saints mwaka jana. (Football Insider)


Kiungo Mholanzo wa Manchester United Donny van de Beek, 24 na mlinzi wa Ivory Coast Eric Bailly, 27, wamehakikishiwa mustakabali wao kwenye klabu hiyo. (Sun)


Chelsea wana uhakika mlinzi wake Mdenmark defender Andreas Christensen, 25, atasaini mkataba mpya wa muda mrefu kusalia Stamford Bridge. (Football Insider)


Juventus imeingia kwenye mbio za kumuwania mshambuliaji mjerumani wa Red Bull Salzburg Karim Adeyemi,19. (Calciomercato - in Italian)


Tottenham wako tayari kumruhusu kiungo wa England Dele Alli, 25, kuondoka klabuni hapo mwezi Januari . (Athletic - subscription)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso