Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) wilayani Kahama mkoani Shinyanga kimesema hakitashiriki uchaguzi wa aina yoyote mpaka pale tume huru ya uchaguzi itakapopatikana.
Akizungumza kwenye mkutano wa vijana wa chama hicho mwenyekiti wa chadema Wilaya ya Kahama, Juma Protas alisema katika majimbo yote matatu ya wilaya ya Kahama hawatasimamisha mgombea yoyote na kwa nafasi yoyote.
“hatuta shiriki uchaguzi wa aina yoyote ile hadi pale itakapo patikana tume huru ya uchaguzi “ alisema juma Protas mwenyekiti wilaya kahama
Hata hivyo umoja wa vijana wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA (BAVICHA) kupitia mwenyeki wao SIMON PAUL kiliitisha mkutano kwa ajili ya kujadili mstakabali wa namna ya kudai tume huru ya uchaguzi na rasimu ya pili ya katinba maarufu kama katiba ya warihoba na mengine ya kisiasa.
Mkutano huo wa kiele cha maadhimisho ya siku ya katiba kichama ambayo yaliaanza tangu june 24 na kufikia kilelele chake leo july 1 kijimbo yalifanyika kwenye hotel ya kahama gold hotel na kitaifa yamefanyika segerea Da
Aidha maadhimisho hayo yalipeba kauli ni tusimame na katiba mpya tusonge mbele na tume mpya ya uchaguzi
mwwenyekiti chadema wilaya juma protas ambaye amesima
mwenyekiti wa bavicha kahama Samson pius vuga aliyesimama
No comments:
Post a Comment