MUHUDUMU WA OFISI: NAFASI 1
MAJUKUMU YA KAZI
Ø Kupokea
na kkaribisha wageni
Ø Kufanya
usafi nje na ndani ya ofisi.
Ø Kutunza
kumbukumbu za ofisi
Ø Kufananya
shughuli za katibu mahususi
Ø Kuandaa
ripoti na kuwasilisha kwa msimamizi wa ofisi
Ø Kufanya
shughuli nyingine atakazopangiwa na ofisi
SIFA ZA MWOMBAJI
Awe amehitimu kidato cha nne na
kuendelea.
Awe na ujuzi wa kutumia Kompyuta
Word, Exel, Publisher na programu nyingine
Awe na uwezo wa kuandika na kuzungumza
Kiswahili na kiingereza
Awe na uwezo mkubwa wa kujieleza,
kushawishi na kujiamini.
Awe ni msichana mwenye umri
asiyozidi miaka 25.
Awe na moyo wa kujitolea na
kutekeleza majukumu aliyopangiwa.
JINSI YA KUOMBA
Maombi ya
nafasi hiyo lazima yaambatane na:-
Barua
ya maombi inayoelezea hali halisi ya shughuli yako.
Maelezo
ya kutosha kuhusu Wasifu wako yaani (CV) inayoonyesha Anwani yako, Email yako,
namba ya simu na wadhamini wawili (2) ambao wanakufahamu vizuri ukiambatanisha
na mawasiliano yao.
Mwombaji
aambatanishe picha moja ya rangi na nakala za vyeti vya shule pamoja na chuo
kinachotambulika na Serikali.
BARUA
ZOTE ZIANDIKWE KWA:
MKURUGENZI
MTENDAJI
HUHESO
FOUNDATION
P.O.BOX
619,
KAHAMA-SHINYANGA
PELEKA
BARUA KWENYE OFISI YETU INAYOPATIKANA KAHAMA MJINI, KATA YA MALUNGA MTAA WA
IGEMBENSABO. MWISHO WA MAOMBI KWA NAFASI HII NI TAREHE 01/10/2017
South Africa’s local non-profit organization .And run by Harish Jagtani
ReplyDeleteHJ Foundation is South Africa’s local top non-profit organization is where you can help for others
ReplyDelete