Tanzia : DIWANI WA KATA YA ITWANGI SONYA JILALA MHELA AFARIKI DUNIA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 7 October 2024

Tanzia : DIWANI WA KATA YA ITWANGI SONYA JILALA MHELA AFARIKI DUNIA



Diwani wa kata ya Itwangi Sonya Jilala enzi za uhai wake


****
Diwani wa kata ya Itwangi Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Mhe. Sonya Jilala Mhela amefariki dunia.


Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, Ngassa Mboje amesema Sonya alifariki dunia juzi kwa ajali ya pikipiki.


"Tumepoteza kiongozi mahiri, alipata ajali ya pikipiki akavunjika mguu wakati anaendelea kupata matibabu Hospitali ya Rufaa Bugando Presha ikapanda akafariki dunia..Mazishi yanafanyika leo Jumatatu Oktoba 7,2024 nyumbani kwao Itwangi", amesema Ngassa Mboje.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso