WAZIRI MKUU ASHIRIKI SIKU YA MASHUJAA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Thursday 25 July 2024

WAZIRI MKUU ASHIRIKI SIKU YA MASHUJAA





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Julai 25, 2024 alikuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali Mtumba Mkoani Dodoma


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki katika Maadhimisho hayo.










No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso